Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Kweli bro. Hata akikwazwa namna gani huwezi kumuona akirusha matusi. Sana sana atakutafuta baadaye pembeni anakuuliza kwa upole. Hana kisirani wala gubu kama la vimbaumbau flati skirini...Hivyo mnaweza kuwa mmekosana mwaka 1997 mpaka leo bado kina gubu. Kwa hili kwa kweli Shunie anastahili hongera. Mi mwenyewe nilishamkwaza mara nyingi tu hata bila kujua lakini baadaye sana ndo utamsikia "ile ishu Msukuma sikufurahia" halafu yanaishia hapo na mnaendelea kucheka tena. Sifa bora kabisa hii kwa wanawake wenye misambwanda aisee...Misambwanda hoyeeee !!!Si kama Shunie bro,,ushawahi kuona yupo na neno na mtu??hasira zote zmejikusanya kwenye chura
mh au unahofia kuacha balimi itakuwia ngumu?Sitaki ndio tena kwa kulazimishwa
Hapana ukiokoka kila kitu unaachana nacho sio kwa kulazimishwamh au unahofia kuacha balimi itakuwia ngumu?
Unajua kuwa unaendelea kufanya ulokole wa baadhi ya watu uendelee kuwa mgumu? Cheupeeeee. Ng'ombe 59 hapo Msukuma napigwa kihalali kabisaaaHahahahah sasa mbona mm sina msambwanda jamani ni kimbaumbau na kisirani ninacho sana basi tu kuna mda navumilia tu View attachment 1015290
Tatizo msambwandaUnajua kuwa unaendelea kufanya ulokole wa baadhi ya watu uendelee kuwa mgumu? Cheupeeeee. Ng'ombe 59 hapo Msukuma napigwa kihalali kabisaaa
Yeah! Nilifanikiwa kuacha pombe vu bin vuu baada ya kuombewa na mchungaji. Yaani siku hizi nikisikia hata harufu tu kichwa kinauma wakati nilikuwa sipitishi siku bila kutandika bia angalau tatu tena zile kali. Mungu ni mwema !!!Hapana ukiokoka kila kitu unaachana nacho sio kwa kulazimishwa
Unataka nami nifute? Ila hiyo picha kama ni yako kweli iondoe tu banaTatizo msambwandakumbe umewahi kuquote nilishafuta
hymenAtulinde wote babe
Hapana usifute haina shida sababu nilishafuta kwangu msukumaUnataka nami nifute?
Aiseee Mungu ni mwema na mm naomba Mungu anisaidie jamani niache Heineken yaaniYeah! Nilifanikiwa kuacha pombe vu bin vuu baada ya kuombewa na mchungaji. Yaani siku hizi nikisikia hata harufu tu kichwa kinauma wakati nilikuwa sipitishi siku bila kutandika bia angalau tatu tena zile kali. Mungu ni mwema !!!
Hahahahaahha chizi wewehymen
Endeleeni na story za misambwanda
Ntakutafta kesho unambie mmefikia wapi kuhusu msambwandaHahahahaahha chizi wewe
Heineken zinakuendesha eeh? Mimi kuna bia inaitwa Dogfish 90. Yaani ilikuwa lazima nipate angalau tatu vinginevyo siku haitaenda. Endelea kumuomba Mungu na ufanye dhamira ya kweli katika imani. Siku moja utashangaa AtakapokugusaAiseee Mungu ni mwema na mm naomba Mungu anisaidie jamani niache Heineken yaani
We hupendi misambwanda mkuu? Au kwa vile mlokole?Ntakutafta kesho unambie mmefikia wapi kuhusu msambwanda
Mkuu mimi misambwanda sipendi napenda ambao hawana kama huyo uliekua unachat naeWe hupendi misambwanda mkuu? Au kwa vile mlokole?
Sawa mkuu. Kwenye haya mambo ni kila mtu na lwake. Good night ....Mkuu mimi misambwanda sipendi napenda ambao hawana kama huyo uliekua unachat nae