Makapuku Forum

Msambwanda sina jamani
 
Nimecheka sana huo mfano ulioutoa hapo juu,,huyu Shunie hzo sifa ulizotaja hapo anazo,chek avatar tu hyo bro,,rangi ya mtume,chura ya kufikia tu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kakorofi sana kale. Acha kateseke ili kajifunze. Tena naliomba hilo jamaa lisiwe na huruma likakunje sawasawa kipigo cha mbwa koko mpaka kawe kapole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukorof wote ule umekwisha,kakija kapole kama nn
 
Raha sana kuyaangalia mamisambwanda. Hata kama una kihoma na mafua home limsambwanda la waifu likipita unapatapo kaunafuu. Na wanawake wengi wenye mamisambwanda na wanene kidogo huwaga wapole sana kinyume na vimbaumbau...
Si kama Shunie bro,,ushawahi kuona yupo na neno na mtu??hasira zote zmejikusanya kwenye chura[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…