Jamani kwahiyo bado hamjakufwa tu
Hahaha
Utafiti unapingwa kwa tafiti
Kwenye ubora wake kabisa
Khaaaaa yaani nikae niwe nakusubiri tu we bintiShangazi Shunie bila shaka umzima.?Asante kwa Je wajua.
Usiondoke naomba nirudi badae kujua kuhusu Prezidenti endi ai,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha napenda comedy binamu,hii si ya Hart,,nmeona sehemu matangazo yake mengi sana,,,ngoja niiweke kwenye ratiba kabsa....nami naiweka kwenye rada zangu this weekend niiangalie.
BTW, ukitaka kucheka wikend hii tizama The Upside, a true story , hutajutia muda kama unapenda real life comedy drama
Hahaha wanataka wabaki watt muda wote eehutoto raha bwana asikwambie mtu,
Wanachokijua ni kupokea hakuna neno lingine.
Ndo maana mastaa wa Daslam hawataki kabisa kukua
Umeamka salama eti.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh,tulimpeleka engilishi kozi bhana,ili akupate vyema haha
Hahaha msaidie kuipata namba ya sepenga bhasi
Hahaha
The Walkng Dead,,,hii tv show huwa naipenda sana
Baba wawili habari yakoThe Walkng Dead,,,hii tv show huwa naipenda sana
Shangazi mambo vp??Baba wawili habari yako
Niko mzima mm hofu kwako tu vipi mnaendeleaje na mary mambo mazuri auShangazi mambo vp??
U mzima ww?
Haha huku kwema kabsa shangazi,mambo sio mambo shangazi,,,binamu bado ana mapenz kama yote kwa bibie,,,akija tu na stor zake za koroshow hali inabadrikaNiko mzima mm hofu kwako tu vipi mnaendeleaje na mary mambo mazuri au
Hahahhaha binamu kivuruge we mzoee tuHaha huku kwema kabsa shangazi,mambo sio mambo shangazi,,,binamu bado ana mapenz kama yote kwa bibie,,,akija tu na stor zake za koroshow hali inabadrika
Hahahaha ntajihidi sana,,mambo safi lakiniHahahhaha binamu kivuruge we mzoee tu