Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Kwahiyo mary anaelekea eenh we komaa nae hivyohivyo baba wawiliHahahaha ntajihidi sana,,mambo safi lakini
Kwahiyo mary anaelekea eenh we komaa nae hivyohivyo baba wawiliHahahaha ntajihidi sana,,mambo safi lakini
Tuko poa mama wenger habari yakoJamani mko poa
Hahahaa ngoja nikaze shangaziKwahiyo mary anaelekea eenh we komaa nae hivyohivyo baba wawili
Tupo poa,habar ya uzimaJamani mko poa
Sijambo mdogo wangu sijui wwTuko poa mama wenger habari yako
Namshukuru Allah sijambo mkuuTupo poa,habar ya uzima
Sasa je huo ndio uanaume watashindanaaaaaaa lakini hawatashindaaaaaaaa binamu asikutishe baba wawiliHahahaa ngoja nikaze shangazi
Mm mzima mama karibu jamaniSijambo mdogo wangu sijui ww
Hahahahaha that's my shangazi,,ushaur kama huu ni nadra sana kuupataSasa je huo ndio uanaume watashindanaaaaaaa lakini hawatashindaaaaaaaa binamu asikutishe baba wawili
Inapendeza kusikia hvyo,Allah atufanyie wepesi popote tulipoNamshukuru Allah sijambo mkuu
Hahahahaha that's my shangazi,,ushaur kama huu ni nadra sana kuupata







Hakunaga kama shangazi
AmeeenInapendeza kusikia hvyo,Allah atufanyie wepesi popote tulipo
Hahahaha wameshasepa na uzi wenu naona,,ule uzi ya yule jamaa kwa siku anafungua nyuzi kaa kumi hvHakunaga kama shangazi
Eeenh umeshafutwa huyu jamaa anabore khaaaa mwisho wake atapata banHahahaha wameshasepa na uzi wenu naona,,ule uzi ya yule jamaa kwa siku anafungua nyuzi kaa kumi hv
Kwakweli woiiiiiJf never boring wallah![]()
Hahahaha umeanza na woiiiii zako,,kifatacho ni emoj za fire hahahKwakweli woiiiii
Hahahaha umeanza na woiiiii zako,,kifatacho ni emoj za fire hahah










Kabsa,,atakuwa ana sababu zake mwenyew kwann anafanya mambo ya kujtoa ufaham kias vileEeenh umeshafutwa huyu jamaa anabore khaaaa mwisho wake atapata ban
InshallahInapendeza kusikia hvyo,Allah atufanyie wepesi popote tulipo