Makapuku Forum

Makapuku Forum

...aina nyingine ya ujinga na ulevi wa madaraka!
Kwa sisi tunaotumika usiku tukose mawasiliano?

BTW, hizi kampuni zinatengeneza faida kwa kufanya kazi/huduma za mawasiliano, wengine tuna biashara za mtandaoni na kodi tunalipa, huku ni kufisha biashara
Binamu kwani hizi habari ni kweli nimekuta kwenye group mtu ameirusha
 
Back
Top Bottom