Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Kwema anko??
Kwema anko??
Karibu sana utatukuta tunaopenda story huko ndio jukwaa letu
HahahaNdiooo shangazi,,alikuwa anasema kwan kaka angu huko kwenye mihangaiko yenu hujaona kabsa,,ntafutie wifi bhna,vibaya hvyo kukaa peke yako ili hali u mkubwa sasa,,,,kama uongo atasema hapa Tumosa
HahahahaHahaha
Basi wifi ndio ameshatafutiwa ole wake sasa aongee vibaya si alitaka wifi yeye
Karibu sana utatukuta tunaopenda story huko ndio jukwaa letu
Hahhahah aje huyo dada ako sasaHahahaha
Kabsa,jukum langu nmemaliza,kazi kwake sasa
Kheee jamani tatizo kule story nyingi nimepost sasa nitaanza kukuita kila story jamani si nitachoka we mzeeHahahaha, ahsante kwa kunikaribisha ,nasubiri uniite huko rasmi km ulivyoniita huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha atakuja tuHahhahah aje huyo dada ako sasa
Mda wenyewe mchache,mambo mengi mwikoNa shangazi hataki kujichosha kabisa na mambo mengi

Nashukuru kaka angu kwa kuniletea wiii
Nmeona u mpweke sana dada angu,umekosa mtu wa kuitana wifi,na vile huwa na upendo wa wifi zako
Hahaa msenge sana mende... kutwa anashinda toilet huko ... kwa usafi gani haswaa alionao
Sent using Jamii Forums mobile app


Aisee naomba tusaidiane kupambana naoKunitafutia mawifiYupo vizuri kwenye nn eti kaka ako