Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Asubutuuuuuu baba wawili sio kwa weupe huo we ni mzunguHahaha mbongo pure kabsa shangazi
Asubutuuuuuu baba wawili sio kwa weupe huo we ni mzunguHahaha mbongo pure kabsa shangazi
Kwahiyo unataka akulipe au mm ndio sijaelewa
Niko hapa we mzee kwa nini wanatunyanyapaa sisi flatscreen jamani
Hivi nimekusema hapa ndo nimekuamsha eti.?
Nilitekwa lkn nashkuru nimejiokoa salama.
Habari ya mwaka mpya.? Naona umebambiwa hata pumzi hutoi![]()
Sent using Jamii Forums mobile app





Ziwa victoria unavua na Bahari ya hindi wavua pia
Nimekula nawe ndugu yangu kbs yaan8
Sent using Jamii Forums mobile app





Hahhaha jinga weweHata mi nashangaa hapa,
Yaani nilitoka kidogo tuu mambo ndo hayonisaidie kumsamehe hacker
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa habari yako
Asante Mungu jamani nimejiona mtu kidogo sasa
Hahahaha, jioni MTU sana tu sio kdg,we kwangu bonge la MTU ,hujui tuAsante Mungu jamani nimejiona mtu kidogo sasa
EeeenhHahahaha, jioni MTU sana tu sio kdg,we kwangu bonge la MTU ,hujui tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, ni kweli Kabisa, sikujazi naongea ukweli ' ukweli toka moyoni' wala usijiogope bali 'jivunie'Eeeenh
Sema kweli we mzee mbona unanijaza hivyo mpaka najiogopa
Eeeenh
Sema kweli we mzee mbona unanijaza hivyo mpaka najiogopa
Hahhaha poa Ngabu yaani wewe umeshaanza mambo zako woiiiiiWapendanao wakigombana chukua jembe ukalime....
Na ile siku wakipatana beba kapu ukavune...
Naimba tu Shualina....mambo lakini?
WoyoooooHahahaha, ni kweli Kabisa, sikujazi naongea ukweli ' ukweli toka moyoni' wala usijiogope bali 'jivunie'
Sent using Jamii Forums mobile app
Woyooooo
Acha nijivunie jamani









Hahhaha poa Ngabu yaani wewe umeshaanza mambo zako woiiiii
Hahaha kwa hyo baby kumbe ww ni Ziwa Victori eeh hahahaZiwa victoria unavua na Bahari ya hindi wavua pia
Nimekula nawe ndugu yangu kbs yaan8
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Ngabu bwana mabandiko yangu mengi nabandika entertainment kwenye storyUwepo wangu wa JF umeuzidi uwepo wapo kwa zaidi ya miaka 10.
Lakini wewe umenizidi kwa idadi ya mabandiko.
Umenizidi kwa zaidi ya mabandiko 20,000.
Hivi huwa unabandika wapi hasa?