Makapuku Forum

Mmmh kumbe upo mamtoni hongera. Huku kwetu koromije ni saa kumi na mbili kasoro sita
 
Mmmh kumbe upo mamtoni hongera. Huku kwetu koromije ni saa kumi na mbili kasoro sita
Koromoje hakuwezi kuwa na mapochopocho ya namna hiyo. Hahahaa watakuloga wana kijijiji wenzio. Nipo huku kinyanamba nagema ulanzi na kuokota mikusu na misasati. Karibu sana makande ya mahindi mabichi, maharagwe na viazi ulaya bee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hizo mkuu pamebadilika sana siku hizi. Full kujiachia masiha mafupi haya. Nimeshakariri ulipo usibadilishe bana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…