Makapuku Forum

Sie ambao tumevuka vigezo vya ukapuku tunaruhusiwa kupota hu kuwapa Hi tu


Sent using Jamii Forums mobile app

....wewe bado hata ukapuku hujaufikia.

Sasa kama umepita kutupa hi jitahidi kwanza uwe na simu/laptop nzuri, iwe yako mwenyewe maana madhara ya kutumia kitu ambacho siyo chako yamejionesha kinagaubaga, unakuwa na harakaharaka ili usifumaniwe. Hilo moja.

Pili, karibu sana na jisikie upo sehemu na jukwaa sahihi kuweka makazi.

Zaidi ya kutusalimia, Una Jipya?
 
Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…