Ntakuita mahali husika Aunt yangu mzuri mzuri,Hapana watu wawili tofauti ndio mana wako dini tofauti
Kwakweli uzee uishie huko ulipoUnaanzaje kuzeeka shangazi yako yupo
Nimelala sk 2[emoji38][emoji38][emoji38]Ebu kalale babe tutaonana kesho eeenh mtoto wangu mzuri mzuri [emoji8]
Dada mkubwa kbs (kwa sauti ya shangazi )nakusalimia dadaUsijali
Mie nipo, usiku mwema mamii
Mamaa[emoji134]unaijua hadithi ya nani atamfunga paka kengele,?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naijuaaa ntamfunga Mimi apa [emoji125][emoji125]Mamaa[emoji134]unaijua hadithi ya nani atamfunga paka kengele,?
Nakunywa chai karibu[emoji4][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wote mpaka Shangazi hatukupendi![emoji41][emoji41][emoji41]Salam zenu kapuku nawapenda mimi[emoji8][emoji8]muwe na asubuhi njema na mwanzo wa wikiendi mwema pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu nivueni nifanye sherehe
Eenh siku mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjomba hivi si ulistaafu kwa shangazi au mi ndo sielewi??[emoji32][emoji32]
Sent using Jamii Forums mobile app
Obe kawa anko wake leo
Hahhaha ndio utulie hapo sawa toto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Balukutu ni nini?
Hahaha shangazi yupo lkn
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwema baba wawili za weweKwema shangaz
Najua huniangushagi baba wawiliHahahahaha kitchen party inatolewa naona
Yule mwenye ramli chonganishi hawezi sasa kutuchonganisha wote familia moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee