Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Kaniletea habari za simba sasa za nn mm kama sio uchokozi
Kaniletea habari za simba sasa za nn mm kama sio uchokozi
Hahahaha,shangazi Shunie bana ,ni kweli unanivutia mno mpk naogopa ...hakika uko vzrHahhaha eti nipo vizuri mpaka nimekuvutia
Kwahiyo we mzee ni kabila au upo kwenye crew la kabila yaani me mwenyewe kuna mda sikusomi kabisa
Hahahaha, kweli uchokozi huoKaniletea habari za simba sasa za nn mm kama sio uchokozi
Hahhaha eti nipo vizuri mpaka nimekuvutia
Kwahiyo we mzee ni kabila au upo kwenye crew la kabila yaani me mwenyewe kuna mda sikusomi kabisa
Kwani kuna nini kimetokea jamani?!Kaniletea habari za simba sasa za nn mm kama sio uchokozi
Sema kweli we mzeeHahahaha,shangazi Shunie bana ,ni kweli unanivutia mno mpk naogopa ...hakika uko vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Si anataka kunifukuza jf
Mh kawaida hiyo vipiiii
Bana asifanye hivyo, ukitoka nami natokaSi anataka kunifukuza jf
We mzee wa Swaziland ebu niache kidogo na hizo habari unazoniletea






He he
Mh kawaida hiyo vipiiii
Sawa mzee kabila nimekuelewa
Hahahaha, hebu acha hizi mambo basi, mie ni muzee ila sio muzee KabilaSawa mzee kabila nimekuelewa
Sawa sawa we mzeeHahahaha, hebu acha hizi mambo basi, mie ni muzee ila sio muzee Kabila
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa we mzee
Nimecheka unaenda kufungiwa na jimama lako la kicongo naona umemiss kufungiwa