Kwema lakini binamuNaona ndo umeuanza tayari wewe, mimi nirakupa heko ya 2019 nikimalizana na hawa wanaodai hela ya nyumba na shule. Wajinga kabisa hawajui sijalipwa hela ya korosho!
Nashukuru Mungu ni kwema kabisa na maisha yanasonga. Vipi weweKwema lakini binamu
Za leo njema sana,za kwako.?Popote nilipo salam zimenifikia, za leo?
Nashukuru Mungu ni kwema kabisa na maisha yanasonga. Vipi wewe
Nafurahi kusikia uko poa. Mama na family inaendelea vizuri, niko vizuri kabisa.
Aisee!!!acha kupenda chura
Kweli shunie.. Tetra hawezi kosa pa kukupelekaSema kweli tetra jamani



Anataka aendelee kua singooBora umkazie tetra anapenda sana kuwapa watu shikamoo
Unasema?!Aisee!!!acha kupenda chura
Cheki macho yanavyokutoka pale chura inapokatza mbele yakoUnasema?!View attachment 990382
Woyooooo
Hapana jamani huyu mzee hajaonekana mda ujueJiweeeeeeeeeeee umekumbuka teuzii
Hahahhaha baba wawili huyoDuh,,,mjomba hata ww
Mm kwakweli tetra nichukue tu unipeleke tu huko ulipo kwa trump kwako wala usipate shidaKweli shunie.. Tetra hawezi kosa pa kukupeleka![]()
Mngh!Woyooooo