Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Sawa basiAisee nko poa
Kwetu network mbovu mno ilikuwa inanipa uvivu kuingia jf
Mungu akipenda tutaonana tu
........
Sawa basiAisee nko poa
Kwetu network mbovu mno ilikuwa inanipa uvivu kuingia jf
Nko poaDear hujambo
AminaSawa basi
Mungu akipenda tutaonana tu
........
Woow!Niaje ?
Nilikuwa TKY sasa nikakureply kwenye huu uzi ulikuwa offline......
...........
heri ya mwaka mpya dada lakeHabari yako tetra
Heri ya mwaka mpya makapuku wooooote..ndugu yenu KIBUMBU napita
Natuma salam popote ulipo zikufikieSikuwa na simu tangu asubuhi, si unaona hata mwandiko ni tofauti.
Umeashaamka shangazi, ?Muwe na usiku mwema tu jamani shangazi yenu nawapenda tu mimi![]()


