Nko poa mm hofu yngu kwakoBosi mzima lakini heri ya mwaka mpya hatujaonana siku nyingi mkuu uko powa?
Sent using Jamii Forums mobile app
ShikamoooJiwe umerudi tumekuham
Nimecheka kwa sauti kapwil umenikumbusha jamani
Shikamoo kapwil jamanii huku nimekupigia na goti kabisa

Nipo hapa prince dogo akee mary
Mambo yanabana uko poa lakinisiku hizi hukai Sana jukwaani
We dada nakutafuta whatsapp sikupati ebu mtafute mtu gani bwana
Hahhahhaa aniachie ili unipeleke wapi tetra
Basi ndio hivyo kazi kwenuHiyo ya kushindwa wenyewe tu sio zadi
Siwezi kosa pakukupeleka..Hahhahhaa aniachie ili unipeleke wapi tetra
Hii tabia ya kuniamkia sitakii..
Bora umkazie tetra anapenda sana kuwapa watu shikamooHii tabia ya kuniamkia sitakii..
Siwezi kosa pakukupeleka..
Mahabaaa waendeleajeShikamooo