Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Nimekuhamu pia MangaJiwe umerudi tumekuham
Heri ya mwaka mpya
Nimekuhamu pia MangaJiwe umerudi tumekuham
Aiseee
Nipo hapa prince dogo akee maryJiwe
Namshukuru Mumba na kwako iwe hivyo.Nimekuhamu pia Manga
Heri ya mwaka mpya
Hahaha ndio nimeonekana sasa mshindwe wenyeweNamshukuru Mumba na kwako iwe hivyo.
Tunaletewa salamu tu wewe huonekani
Ubakie tu tue tunakuona tutatumia fulsa hiyoHahaha ndio nimeonekana sasa mshindwe wenyewe








Nimecheka kwa sauti kapwil umenikumbusha jamani
Niko poa mm hofu kwako tu
Fursa ipiii tena jamaaniUbakie tu tue tunakuona tutatumia fulsa hiyo
Umecheka kwa sauti kwa nn shunie?Nimecheka kwa sauti kapwil umenikumbusha jamani
Shikamoo kapwil jamanii huku nimekupigia na goti kabisa
Umepotea siku mbili tatu hizi ulisafiri mkuuNiko poa mm hofu kwako tu
Bwanaa unajua kwa nn nimecheka we si ndio umenikumbusha lakini mwenyewe nilishasahau kabisa
Hapana majukumu tu ya hapa na pale
Hiyo ya kushindwa wenyewe tu sio zadiFursa ipiii tena jamaani