Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Npo kpenz mambo mengi
Npo kpenz mambo mengi
Mdogo wangu kpenz,miss u
telemundo wa binamuMfyuuuuu
Mzushi huyo naachwaje kizembe mm
MfyuuuuUkiachwa achikaaaa huu msemo umempitia pembeni
Cjui kuachwa mmNdio anavyomdanganya hivyohivyo kila siku
Shikamoo kaka

...marhaba aunt yangu. Niko Mwanza 'Rocky city' kila nikiona Jiwe nakukumbuka

Nakupenda mm kaka anguHahaha nipo kwa ajiri ya kumtetea dada angu,,unamkosesha raha sasa kuna kpnd ulimfanyia teuzi bla taarfa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mdogo wngu,hongera nawe

Kheri kwako mama,tupo salama twashukuru,Heri ya mwaka mpya wapendwa,naamini wote mmeamka salama
Kwa wale waliokumbwa na changamoto mbalimbali Mungu awafanyie wepesi
Its me mama wawili nawapenda mno
salam kwa wawili..