moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,365
- 775,926
That's my sis!!Heri ya mwaka mpya wapendwa,naamini wote mmeamka salama
Kwa wale waliokumbwa na changamoto mbalimbali Mungu awafanyie wepesi
Its me mama wawili nawapenda mno
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kheri kwako mama,tupo salama twashukuru,
Amiin twakupenda pia[emoji8]salam kwa wawili..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli
Na kwako pia
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] namshukuru Mungu tumevuka salama
Abeeee shemela
Ah! Binamu Tumosa, heri ya mwaka mpya binamu! Yaani tangu msimu wa sikukuu uingie, ndo unajifanya humuoni kabisa binamu yako!Na kwako pia
Shikamoo bina mm cjambo hofu yngu kwenuAh! Binamu Tumosa, heri ya mwaka mpya binamu! Yaani tangu msimu wa sikukuu uingie, ndo unajifanya humuoni kabisa binamu yako!
Ahsante Tumosa Za hapaMkushi Da Gama heshima yko naona kivuli chako
Ni njema mno hbr ya utokako