ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Hahahaha Mungu anakuona shangaz,,mapenz ni ya wawilNdio anavyomdanganya hivyohivyo kila siku
Binamu shikamoo
Duh,,binamu kumbe ndio ww uliyekuwa unapiga picha mchana pale kwenye sanamu la samaki linalotoa maji...marhaba aunt yangu. Niko Mwanza 'Rocky city' kila nikiona Jiwe nakukumbuka
...marhaba aunt yangu. Niko Mwanza 'Rocky city' kila nikiona Jiwe nakukumbuka



Hahhaha yaani wewe baba wawili ni kivurugeeee upo huku na huku
Eeenh lipii hilo
Hata kama jamani namuonea huruma ujue baba wawili dada yako
Hahahhahahahaha binamu wewe unafanya nn huko...marhaba aunt yangu. Niko Mwanza 'Rocky city' kila nikiona Jiwe nakukumbuka
Ebu tafutana na binamu na we si upo huko baba wawiliDuh,,binamu kumbe ndio ww uliyekuwa unapiga picha mchana pale kwenye sanamu la samaki linalotoa maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha umeanza fitina binamuKwema sana bhinamu, vipi umeshatoa zile sababu zako za kutorudi nyumbani aka kuchepuka ?
Hahaha nipo kwa ajiri ya kumtetea dada angu,,unamkosesha raha sasa kuna kpnd ulimfanyia teuzi bla taarfaHahhaha yaani wewe baba wawili ni kivurugeeee upo huku na huku
HahahahaHata kama jamani namuonea huruma ujue baba wawili dada yako