Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Hahahaha kumbe unamjua binamu yako,,sasa hapo kaleta maneno yake mengi mengiHahhahaha sio huwezi kulala ghorofani huwezi kulipa na maubahili yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kumbe unamjua binamu yako,,sasa hapo kaleta maneno yake mengi mengiHahhahaha sio huwezi kulala ghorofani huwezi kulipa na maubahili yako
Kalala kwenye kunguni huko kwenye elf 10 analia lia anaona hela nyingiHahahaha kumbe unamjua binamu yako,,sasa hapo kaleta maneno yake mengi mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute binamu obe basi na suruali yake ya mstaafu baba wawili
Nipo chattle kwa sasa shangazMtafute binamu obe basi na suruali yake ya mstaafu baba wawili
Bd dakika kadhaaNgoja nikatafute tairi la kuchoma, nikipata narudi kuwaeleza nitalichomea wapi maana polisi na polisi jamii wametoa tahadhari

mambo ya kukulana
...siwezagi kulala kwenye ghorofa, nina kiungalia mwenzenu, nilienda kulala guest moja mtaa wa Uhuru jirani na polisi, nililipa hela nyingi sana, eti kulala tu unatoa 10,000/= nilikasirika sana ikabidi nimtongoze muhudumu (alikuwa mdada) maana hii hela nyingi sana kulala burebure
...yaani nikilipwa watu watashangaa sana, ABJ atapendeza na ukimuangalia utaisahau telemundo ufikiri unaangalia tamthilia ya Sultan, maana sio kwa midhahabu hiyo. Mwili utachafuka dhahabu utadhani pilau la nyumba ndogo, mchele nusu nazi robo nyama kilo nne, nyanya kitalu kizima cha dabaga

kaazi kwelikweli

Shingoni na mikononi, kiunoni aendelee kuvaa shanga za kimasai ili machejo yawepo, akivaa cheni ya gold kiunoni ataogopa kujituma itakatika. Sasa hizi za kimasai zikikatika anainama kuziokota (sio chumamboga tena bali operesheni okota utunda)
Asante mpenzi na kwenu pia


niko narudi kulala
Happy New Year my Swtyheart ..mwaka huu uwe na barakaa za kudumu
Happy New 2019
Afya, Furaha, Mafanikio ndo tunaomba kwa ajili ya kila mmoja wetu