Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Basi binamu nilijua umelala hapo
...siwezagi kulala kwenye ghorofa, nina kiungalia mwenzenu, nilienda kulala guest moja mtaa wa Uhuru jirani na polisi, nililipa hela nyingi sana, eti kulala tu unatoa 10,000/= nilikasirika sana ikabidi nimtongoze muhudumu (alikuwa mdada) maana hii hela nyingi sana kulala burebure


