Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Husna alikuwepo jana ...ABJ ulipotea nae ...mary naye ashaamua raha kujipa mwenyewe ila yupoooJumatatu njema wadau! Binamu nimerudi baada ya kwenda kijijini kujamiiana (socialize) na mambo ya sikukuu ya tatu ya mtu wangu wa karibu sana. Kama kawaida, ninyi ni watu poa sana.
Kuna Jipya?
marybaby sorry sikukujibu quote yako sababu ya changamoto ya kimwili ila Asante kwa kuandika kitu
Poa jirani yakeJirani mamboo![]()
![]()
![]()
Acha tu anko, yaliyotokea hayakuwa ya kawaida ila nimerudi na faini kuelekea Xmas tusubiri malipo ya Mo DewjiBinamuu una faini
Mpenzi wangu mwenyewe! Niambie laazizi wangu nyonga mkalia iniPoa jirani yake
Hapana binamu ...Acha tu anko, yaliyotokea hayakuwa ya kawaida ila nimerudi na faini kuelekea Xmas tusubiri malipo ya Mo Dewji
Hahahahahahahahaha ulisema husna humjuiMpenzi wangu mwenyewe! Niambie laazizi wangu nyonga mkalia ini
Husna alikuwepo jana ...ABJ ulipotea nae ...mary naye ashaamua raha kujipa mwenyewe ila yupooo
MhHahahahahahahaah wakatiii binamu alikuwa tayarii ashaingiaa chimbo ila bora imeishaa salama japo umemsakiziaa mjomba wako ila sio mbaya ...uzuriii umetulipiaa bili
Ndiyo nilisema simjui yule Husna wako mwenye kigimbi ila huyu namjua kikamilifu kama mbuyu wa ngeredeeHahahahahahahahaha ulisema husna humjui
Nipo okay..vipi wewe?Ndio hunie ...vipi lakinii uko poa kabisaa
Nakumisiii tuNipo okay..vipi wewe?
Nipo kipenziNakumisiii tu
Nakupendaaa mpka najioneaa wivuNipo kipenzi



