Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shingoni na mikononi, kiunoni aendelee kuvaa shanga za kimasai ili machejo yawepo, akivaa cheni ya gold kiunoni ataogopa kujituma itakatika. Sasa hizi za kimasai zikikatika anainama kuziokota (sio chumamboga tena bali operesheni okota utunda)
Hahaaha nacheka mm
 
Hahahhaa hilo sina uhakika shangaz,,kuna kipind huwa anajitoa ufahamu anafanya mambo makubwa,,kama hayo ya kumvsha ABJ machen ya dhahabu

Sent using Jamii Forums mobile app

...yaani nikilipwa watu watashangaa sana, ABJ atapendeza na ukimuangalia utaisahau telemundo ufikiri unaangalia tamthilia ya Sultan, maana sio kwa midhahabu hiyo. Mwili utachafuka dhahabu utadhani pilau la nyumba ndogo, mchele nusu nazi robo nyama kilo nne, nyanya kitalu kizima cha dabaga
 
yawe ya kweli lakini hayaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom