Makapuku Forum

Makapuku Forum

...sikuja kimyakimya, yaani labda hukusikia tu, pale stesheni walijaa watu kunipokea, watu kibao nadhani wengine walikuja kupokea ndugu zao toka Mpanda maana mimi nilitokea Mtwara.

Ilibidi nije natreni ndo maana ulisikia makelele, ningelipwa ningekuja na bombadia
Hahhahaha
 
Four angle halafu juu umevaa na nn binamu

...nilitupia kitu cha nuvu sana, nilivaa tshirt form six na suruali kama mstaafu anayefurahia kikokotoo. Kifupi nilipendeza sana, nikienda studio kusafisha picha nitakutumia hapa uone nilivyobamba (ila negative ikiungua basi ndo nakosa kumbukumbu ya mwanza)
 
...sikuja kimyakimya, yaani labda hukusikia tu, pale stesheni walijaa watu kunipokea, watu kibao nadhani wengine walikuja kupokea ndugu zao toka Mpanda maana mimi nilitokea Mtwara.

Ilibidi nije natreni ndo maana ulisikia makelele, ningelipwa ningekuja na bombadia
Hahahaha sawa sawa binamu,,karbu sana kwenye jiji la shangaz(jiji la jiwe)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...nilitupia kitu cha nuvu sana, nilivaa tshirt form six na suruali kama mstaafu anayefurahia kikokotoo. Kifupi nilipendeza sana, nikienda studio kusafisha picha nitakutumia hapa uone nilivyobamba (ila negative ikiungua basi ndo nakosa kumbukumbu ya mwanza)
Hahhaha yaani navuta picha kama nakuona ulivyovaa suruali ya mstaafu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom