Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umeona eeh,,sasa hv angalau tutatembea kifua mbele kama tumepigwa ngum ya mgongo,,ni mwendo wa ushind tu
Wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kweli mourinho ulistahili kuondoka ulikuwa unatuharibia team
d794975895e77af5803cfbd2c9141a6c.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ss yaani X wa Anko wako kbs anakuamkiaje shkamoo, ?

Mie mzima nashkuru.
Nipo mie sijapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha tatzo anko tyl kashantambulisha mashangaz wengi,,nisamehe tu ha ha

Aisee,,safi sana kama u mzima,acha tutafakar tunauanza vp mwaka ujao kwa kudra zake Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom