Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Kidogo tena
Hahhaha hapo ndio nakupenda mnyantuzu wangu kwa kunibadilishia gear angani tukwani kuna malaika mwingine zaidi yako humu!?.. Itakua haukua online nikamwambia akutafute!.. Unajua tena mtandao unavyosumbua sometimes!..
Yapi tena hayo dear?!!wewe huyoooNishazoea mie humu ndio nyumbani kwangu hapa yenyewe nina mastress full



Mumuheshimu shangazi yenu jamani baba wawili
Akikujibu uniite baba wawili
Zangu tu zinazonizunguka mpenzi hakuna maisha bila stress


si kweli
Zangu tu zinazonizunguka mpenzi hakuna maisha bila stress
Jaman jaman we nae si mkewe?tena akupenda sana hajakwambia Kama kapokea au la!mhh obe jaman
Sent using Jamii Forums mobile app


yaani hujui km nilishindwa foleni.?