Makapuku Forum

Makapuku Forum

Amelala mkuu
Dah! Da' Sakayo, mi nadhani hangover bado hazijaisha... siku njema bhana manake kila nikisoma eti naona kuna mahali "w" imesahaulika!

We binamu Shunie, tafadhali usilale sana, shemeji Wick anakusubiri huku!! Ila msema kweli mpenzi wa Mungu bhana... kwenye hilo neno kati ya tafadhali na sana, imebidi kwenye silabi ya mwisho niichomoe "w" ambayo, wallahi tena, naamini ilistahili kabisaaaaaaaa kuwepo!!!!

Da' Sakayo baadae, ngoja nikamalizie supu yangu ya makongoro!!!
 
Sawa mkuu
 
Ah! Kumbe wewe ni dadake binamu Shunie?! Au ndo yule ambae kila siku binamu yangu alikuwa ananisimulia? Sasa kama huyu binamu ni dada yako, basi nawe ni binamu yangu!

Habari binamu!!!!
Mimi ni Dadake ndio. Ila sina hakika kama alikuwa anakusimulia kuhusu mimi. 😂😂

Habari ni nzuri tu binamu. Nimefurahi kukufahamu binamu.
 
Dah! Kweli Mungu mkubwa, yaani kanikutanisha na binamu yangu mwingine!!! Ila alikuwa ananisimulia kuhusu wewe bhana, lakini si unajua binamu Shunie na kale kapengo kake?? Sasa badala ya kukuita Shadiiya, yeye alikuwa anasema Shaida, lakini ndo wewe wewe tu binamu yangu!!!
 
Hahahaa. Haya binamu nimefurahi kukufahamu. Uwe na siku njema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom