Bhana mi wala sielewi elewi yaani! Sometimes akili inaniambia umemaanisha "ulale" mara pindu, akili ina-change gia angani na kuniaminisha eti ulimaanisha "akulale!" Hivi ulisema NILALE vile, au?!We umefikiria nini eti
Eti binamu Shunie, ile siku ulivyoniambia "haya binamu, nilale basi" halafu nikakimbia, hivi ulimaanisha nini?! Anyway, sio issue lakini... ngoja nimalizie makongoro yangu hapa labda akili itakaa sawa!


