Makapuku Forum

Makapuku Forum

Happybirthday Shunie jiwe shangazi yao watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Happybirthday mke mweee aka shangazi yao watu yaani jiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu akupe maisha marefu tuendelee kufurahia uwepo wako
Ndio
Kazaliwa leo kabinti ka kapuku
Nimefurahi kuchelewa kulala kumbe mtoto shunie anazaliwa
Happy birthday shunie kipenzii
Asanteni vipenzi nawapenda [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Dah! Kweli Mungu mkubwa, yaani kanikutanisha na binamu yangu mwingine!!! Ila alikuwa ananisimulia kuhusu wewe bhana, lakini si unajua binamu Shunie na kale kapengo kake?? Sasa badala ya kukuita Shadiiya, yeye alikuwa anasema Shaida, lakini ndo wewe wewe tu binamu yangu!!!
Mimi ni Dadake ndio. Ila sina hakika kama alikuwa anakusimulia kuhusu mimi. [emoji23][emoji23]

Habari ni nzuri tu binamu. Nimefurahi kukufahamu binamu.
Ah! Kumbe wewe ni dadake binamu Shunie?! Au ndo yule ambae kila siku binamu yangu alikuwa ananisimulia? Sasa kama huyu binamu ni dada yako, basi nawe ni binamu yangu!

Habari binamu!!!!
Khaaaaaa
 
Wazima humu ? Nasikia kuna keki ya kuzaliwa mutu humu ,naomba utaratibu wa kujongea eneo la tukio ,kula keki, pia nina dumu la maji Lita 5, si huwa mnamwagiana maji siku km ya Leo ?
 
Back
Top Bottom