Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Uendeeee ujiandaaaee kuliwaaaaaa...mzee membe utanogeshaa
Eenh naleft mda si mrefu
Eenh naleft mda si mrefu
Sawa wizooChit chat
ngoja nikae kimya nitazidi kukutobolea sifa zako tu!.

anayetandikwa hapo ndo weweHahahaha naona umeamua kutuimbiaAmenipigania mwokozi wangu
Mimi waaaaala sina tabia mbaya kama wewe apo!anayetandikwa hapo ndo wewe





Shunie badoo sema tunahesabu masaaaHappy birthday Jesus!
Happy birthday Shunie (aka Noela)
Let this Christmas be merry to you Makapuku
Huu ni wimbo ambao nmekuwa nikiuweka , japo kwa kuchelewa, kila sikukuu hii.
Heri ya Kirsmasi wewe mdau unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo
Binamu mimi ilibidi nikimbie huku mtaani manake nilishaanza kukapenda kwelikweli kale kabinamu kangu Tumosa wakati ndo kwanza kapo Form II, kanaingia Form III mwakani! Sasa shangaza angenielewa kweli?!!Hahaha hivi yupo kaka binamu yangu chige kapotea toka ulivyopotea na wewe
Hahaaa! Huyu jamaa kapewa kibarua na JWTZ na yupo kwenye timu ya Tokomeza Kangomba Kusini, kwa kifupi TKK!!! Asiporudi anavaa msuli huko, sio mimi! Chezea Kondez wewe!!! We fanya booking ya suruali zake tu manake hazitakuwa na kazi tena!!cuzo Malcom Lumumba where are you!?.. im lookin for yah!.
Samahani Da' Sakayo, hapa ulikuwa unamaanisha kama ninavyofikiria au hangover za xmass bado zinanipeleka puta??!!Nilale
Kama nakuona vile unavyotoka nduki huku ukiwa umevaa khanga yenye maneno "Ushavimbiwa, Utaweza Wapi Kukimbia... Utarejea Tu!"nimetoroka ujue, watu wa Tanga mna hatare!..
We umefikiria nini etiSamahani Da' Sakayo, hapa ulikuwa unamaanisha kama ninavyofikiria au hangover za xmass bado zinanipeleka puta??!!