Bhana mi wala sielewi elewi yaani! Sometimes akili inaniambia umemaanisha "ulale" mara pindu, akili ina-change gia angani na kuniaminisha eti ulimaanisha "akulale!" Hivi ulisema NILALE vile, au?!We umefikiria nini eti
MmmhBhana mi wala sielewi elewi yaani! Sometimes akili inaniambia umemaanisha "ulale" mara pindu, akili ina-change gia angani na kuniaminisha eti ulimaanisha "akulale!" Hivi ulisema NILALE vile, au?!
Eti binamu Shunie, ile siku ulivyoniambia "haya binamu, nilale basi" halafu nikakimbia, hivi ulimaanisha nini?! Anyway, sio issue lakini... ngoja nimalizie makongoro yangu hapa labda akili itakaa sawa!
Halafu unadhani nafikiria mambo ya kulalana basi... bia za mialiko hizi Da' Sakayo!! Bia krate moja, nyama mishikaki miwili ya mia mia kwa Mangi... wapi na wapi!Mmmh
Acha kuwaza mambo ya kulala na sa hizi... Sikumaanisha unachowaza!
MmmhHalafu unadhani nafikiria mambo ya kulalana basi... bia za mialiko hizi Da' Sakayo!! Bia krate moja, nyama mishikaki miwili ya mia mia kwa Mangi... wapi na wapi!
Mbona unaguna tena?! Nimekosea, au?!Mmmh
Hujakosea walaMbona unaguna tena?! Nimekosea, au?!
Sema unaguna vizuri ile mbaya! Itabidi niwe naumiza kichwa kupata cha ku-post kitakachokufanya ugune tena na tena!Hujakosea wala
Asante mkuuSema unaguna vizuri ile mbaya! Itabidi niwe naumiza kichwa kupata cha ku-post kitakachokufanya ugune tena na tena!
AmelalaDada yetu mpendwa Shunie yuko wapi?
Hahahh!!..Hahaaa! Huyu jamaa kapewa kibarua na JWTZ na yupo kwenye timu ya Tokomeza Kangomba Kusini, kwa kifupi TKK!!! Asiporudi anavaa msuli huko, sio mimi! Chezea Kondez wewe!!! We fanya booking ya suruali zake tu manake hazitakuwa na kazi tena!!
Unakimbia baadae ukikumbuka ulofanyiwa unarudi mwenyeweKama nakuona vile unavyotoka nduki huku ukiwa umevaa khanga yenye maneno "Ushavimbiwa, Utaweza Wapi Kukimbia... Utarejea Tu!"
aiseee!!...Don't think Shunie loves you to that extent... ni binamu yangu huyu! Usije ukajikuta unapiga stori na shangazi angu mimi yaani mamake na binamu Shunie; huku mimi na binamu yangu tunakulana huku jikoni!!