Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji15][emoji15][emoji15]hayo umeniambia mimi au mwingine,?

Nakumiss rafiki yangu wa uchinani [emoji8][emoji8]
Rafiki niko poa,am sorry kwa mabaya yote niliyokutendea!......rohoo yangu inanihukumu sana hasa nikikumbuka maneno yako kuwa nilikuwa nakudhoofisha!!

Mary xmas pia!
 
Back
Top Bottom