Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Shikamoo shemela,nmekumiss mnoMtag hapa
Shikamoo shemela,nmekumiss mnoMtag hapa
Asante kutukumbukaActually nimepita kama upepo tu hapa bado sijarudi official ndugu zangu, mwaka umekuwa na mambo mengi ups and downs za hapa na pale and still we're breathing THANK GOD.
See you soon guys
Shikamoo kaka anguNakuona mjomba,,kwema?
Habar za weekend
Shikamoo binamuMimi hapa,Xmas hii sina papuchi!![]()
Heshima yko kpenziHilo jina lifute haraka kabla sijakupa neno nami nikala ban hapa![]()
Njema za ww MoudHabari Kapuku
Habari zenu wapendwa nawapenda mno
Tupo, niajeMakapuku mpoo
Njema, heri ya ChrismasNjema za ww Moud
Huh muongozo ni kutoa kila siku jamani si nilikwambia zikifika kwa mzigua napataToa muongozo, tafadhali....
Hujambo ShunieWatajua hawajui
Sema kweli tetra ebu nichukue basiSafii..twende americaa
Sikupati ujueNawasalimu wote
Actually nimepita kama upepo tu hapa bado sijarudi official ndugu zangu, mwaka umekuwa na mambo mengi ups and downs za hapa na pale and still we're breathing THANK GOD.
See you soon guys
Sema kwelimsalimie mwambie cuzo wake kanificha
Niko hapa kuna mpya ganiShunie bablai
Sijambo moud habari yakoHujambo Shunie
Safi, mambo yakoje kwenye masaa haya machache kuelekea sherehe ya kuzaliwa kwake Masia mwana wa Mariam na baadaye wiki moja kuumaliza mwaka?Sijambo moud habari yako