Kule jukwaa la Sport. Jana si mmeona mwezi au ushasahau. 🙈🙈Jamani si unajua tunaotumia app kupata notification ya tag ilivyokuwa shida ebu niambie ni wapi huko naomba na hiyo zawadi yangu basi
Wawili wako wa kudownload wanaendeleaje lakini baba wawiliHahaha zimefika shangaz
Hahaha ujue ndio naingia jf leo nina masiku kadhaa sijaingia ebu ngoja niendeKule jukwaa la Sport. Jana si mmeona mwezi au ushasahau.![]()
@MumuQueen of my heart
Wako poa kabsa,,wanaendelea vyema kabsa,,wanasubiri zawad za Christimas toka kwa shangaz yao mzur mzurWawili wako wa kudownload wanaendeleaje lakini baba wawili
Haya nenda ila zawadi yenyewe nishaitumia muda wa lunch. Nilijua ungetokea kabla ya saa nne yaani leo zawadi yangu ungeipata kiulainii.Hahaha ujue ndio naingia jf leo nina masiku kadhaa sijaingia ebu ngoja niende
Binamu msimu huu wa sikukuu ni mwendo wa salam yetu ile pendwa!Shikamoo binamu


Binamu!
Hao wawili wako wa kudownload zawadi watazivaaje na umewaokota insta uko ebu acha usanii wako baba wawiliWako poa kabsa,,wanaendelea vyema kabsa,,wanasubiri zawad za Christimas toka kwa shangaz yao mzur mzur
Jamaaani kwa nn lakini unanitamanisha hivi utanifanya simba wakicheza hata mama nimebanwa vipiii niingie tu jf hata kwa kubeep hahahaHaya nenda ila zawadi yenyewe nishaitumia muda wa lunch. Nilijua ungetokea kabla ya saa nne yaani leo zawadi yangu ungeipata kiulainii.
Hahahaaaa. Mie huwa nakujaga kesho yake tutakutana tu na zawadi yako itakuwepo.Jamaaani kwa nn lakini unanitamanisha hivi utanifanya simba wakicheza hata mama nimebanwa vipiii niingie tu jf hata kwa kubeep hahaha
Niaje bro,mitikasi vp hukoSisqo- Incomplete
Hahahhaha unakujaga kesho yake alfajiri sasa mm hata kesho yake nilikosa nafasiHahahaaaa. Mie huwa nakujaga kesho yake tutakutana tu na zawadi yako itakuwepo.
Aisee,,hutaki kuamini shangaz,,acha tuijaze dunia hasa kipind mavuno septemberHao wawili wako wa kudownload zawadi watazivaaje na umewaokota insta uko ebu acha usanii wako baba wawili