Makapuku Forum

Nishakuja. Jirani.

Nipo ndugu yangu jana nilitoa likes kwenye uzi wa yule aliyewashindanisha na Mzigua nikaona mmenita ila nilibanwa sehemu hivyo hata sikuja.

Mmeamkaje lakini ndugu zangu?
Jamani tumeamka poa nilihisi tu ulibanwa kuna watu wanakosaga kazi humu kuanzisha thread za hovyo

Unaendeleaje mpenzi nimekumiss tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…