Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
AiseeMapenzi hayana mwenyewe unaweza penda kijana au mzee
AiseeMapenzi hayana mwenyewe unaweza penda kijana au mzee
Shangaz kakamatkaNiite jina langu baibeee huwenda nafsi yangu ikapoa
Baba wawili huyoAisee
Hiyo nyimbo huijui baba wawili jamaniShangaz kakamatka
Nipo shangaz,,,haujambo ww??Baba wawili huyo
Nyimbo ndio,,lkn ina maana yake shangaziHiyo nyimbo huijui baba wawili jamani
Sijambo baba wawili vipi we jamaniNipo shangaz,,,haujambo ww??
Sijambo baba wawili vipi we jamani
Nyimbo ndio,,lkn ina maana yake shangazi



Umeamua kunisemea baba wawili
Mjomba ako hajambo sana baba wawiliSijambo pia,,mjomba hajambo
Umeamua kunisemea baba wawili
Safi,,msalimie aiseeMjomba ako hajambo sana baba wawili
Zimefika baba wawili jamani shombe shombe baby yupo kweliSafi,,msalimie aisee
Ila bado sio mbaya wewe ndio unayejua maumivu yangu hiii baibeee
Kuna muda namuomba Mungu angekuleta mapema
Shika moyo wangu baibee unavyokwenda mbio unaweza ukapoa
Niite jina langu baibeee huwenda nafsi yangu ikapoa
Nyimbo nzuri Sana hiiMapenzi hayana mwenyewe unaweza penda kijana au mzee
Hahahahahah baba wawili bwanaHa ha ha kidogo tu shangazi,,wala sio kwa ubaya
Sanaaa we mzeee unaijua eenhNyimbo nzuri Sana hii
Sanaaa we mzeee unaijua eenh
He he sauti nzuri niipate wapiii shunie mm chura kasingiziwa hapaHahahaha ,
huwa naipenda sana ,hongera inaonekana una 'sauti' nzuri Sana