Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka mm mama mkwe anaishi wapiii halafu ni mzee sana au vipi hakai na mtu
Ndo nilikuwa sokoni....
Mama mkwe hajui kutumia luku mepewa kibarua cha kununua luku kila ikiisha
 
Ngoja kwanza kwahiyo utakuwa sana na safari za moshi kwa mama mkwe

Halafu huwa nawaza wale viumbe vyako nani huwa anawaangalia ukisafiri
Mimi siendi hukoo ujuee...
Nitawanunulia kwa mpesa niwatumie namba watajipanga hukoo....

Viumbe wangu kuna mtu hukoo nina timu ya mpira kwa nyumba
 
Back
Top Bottom