Mimi siendi hukoo ujuee...
Nitawanunulia kwa mpesa niwatumie namba watajipanga hukoo....
Viumbe wangu kuna mtu hukoo nina timu ya mpira kwa nyumba
Hahaha hahahaHahaha hapo ndio ninapokupendea ujue usiponiambia kufwa kupo hapa
Kumbe huwa unanijali eeehhhhOoh hapo sawa kumbe una team ya mpira ukiniambia umesafiri haupo nyumbani huwa unanipa mawazo sana kuhusu viumbe vyako
Hahaha hahaha
Kama nakuona jamanii
Mfyuuuuu kwa nn nisikujali na wakati nakupendaKumbe huwa unanijali eeehhhh
Mfyuuuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Niko nawashwa bora usingeniambia
Hahaha hahahaMfyuuuuu kwa nn nisikujali na wakati nakupenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema kweeli
Hahaha hahaha
Mwenyewe... Wife material bhana, huwa kuna muda sikuamini saaaanaaa...
Hahaha hahahaHahhaha kweli bwana ebu twende ukaniambie basi
Kuna muda unakuwaga na akili za Heineken mdogo wanguu akiHahhahah hauniamini kwa nini wife material
Relativity! Toto baya zuri kwa mama yake
Kuna muda unakuwaga na akili za Heineken mdogo wanguu aki
Binamu shikamooRelativity! Toto baya zuri kwa mama yake
Ushasahau tayari....Umeanza mambo kwani saa ngapi nimekwambia nakupenda
Eenh halafu kuna mwingine nakuwa na akili gani eti dada