Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
We andika binamu tu hiyo kipenzi itoe![]()
heshima yko binamu kpenz
We andika binamu tu hiyo kipenzi itoe![]()
heshima yko binamu kpenz
Hahahaha, aseeMimi nataka shikamoo kutoka kwa jiwe!![]()
Shikamoo mjombaHahahaha, asee
Marhaba, Mama mchungajiShikamoo mjomba
Ha ha ha jiwe ndio nani mkuuSawa kama unampinga Jiwe
Shombeshombe hajambo binamu,,anakusalimia sana,,,kwan toka ln mjomba akatulia kwa hao watu wake,,yy mwenyew anasema anaweka heshima ya ukoonashukuru Mungu kwa kweli maisha yanasonga kimkakati japo kuna kigagaziko cha kikikotoo cha pensheni lakini ndo hivyo tena muda bado unaruhusu kufurahia salamu zako na asante kwa kunijulia hali. Cheupe hajambo? Maana anko wangu Lyon Lee alikuwaga na cheusi dawa wake hawakudumu sana sasa sijui wewe itakuwaje
Aisee,,,ha ha ha....hata nguvu ya kwenda imeisha maana marybaby kanitosa (huyu ndo ilikuwa sababu ya mimi kuomba hela ya inglishikozi( na korosho wanasumbua kutulipa, wanatangaza wamelipa ilhali hawajalipa kitu na media zinakali kuwasikiliza viongozi badala ya kuja kutuuliza sisi wakulima tuliohakikiwa. Anyway maisha yanaendelea.
EwaaaaaNilikumiss mama Naveen
Huyu ndio aliyekufanyia teuzi kwa dada angu kumbe???
Hapana mimi sijafanyiwa teuzi ila nasikia kuna single mother mmoja hivi ndo kateuliwa kwanguHuyu ndio aliyekufanyia teuzi kwa dada angu kumbe???
Nakuamini kidogo![]()
![]()
hata mm huniamini?
Nmejtolea tu