Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Nzuri
Hujambo mdau
Nzuri
SijamboHujambo mdau
That's my sister!!wajipange na aliyemfanyia teuziMm siendi na huyo kaka namsubiri baba wawili asiporudi ntafanya kaz ya kanisa
That's my sister!!wajipange na aliyemfanyia teuzi
Safi sis msuburie,alianga anaenda kutafuta
MwenyeweHatujambo shikamoo dada
Ha ha ha ,,ras simba anasema kuna kozi moja unatakiwa ukamalizie ,,ili uwe na kiwango kizuri zaid cha kuongea tofaut na sasaNimerudi tena na uzuri ni kuwa nimemuona wangu wa nguvu, wangu mwenyewe wa ukweli ambaye kwa wasiomjua watamjua tu. Great to see you husna muba
Hebu tuburudike na muziki maana Jumatatu kuielekea Krismasi na Mwaka Mpya ndo hii na kumbuka tu kama unawajibika kwa wanaokuangalia basi kumbuka hela utakazopata mwezi huu ndo utalipia ada na kodi ya pango/nyumba/kiwanja na biashara za online zinatozwa kodi.
wewe unayekaa kuuza vitu vipya used online sijui umefungua IG page, au whatsapp basi TRA wanakutakia sikukuu njema
...kabla sijalipiwa ada ya English kozi kwa Ras simba na ndugu zangu ningendako na Tumosa , huu wimbo bilijuaga wanaimba Husnaaaaaaaaaaaa kumbe ni whatslove
Ha ha ha binamu fitina hzo,,hayo mambo ni ww na mjomba mjomba,,...binamu, nakuona na vile vile pokea salamu nyingi sana toka kule ambako hupendi pajulikane. Zile hela za msimu wa sikukuu anasema alizipata ila anasema ulisahau kuweka hela ya kutolea.
Mzima lakini mdau wa ukweli
Nimerudi tena na uzuri ni kuwa nimemuona wangu wa nguvu, wangu mwenyewe wa ukweli ambaye kwa wasiomjua watamjua tu. Great to see you husna muba
Hebu tuburudike na muziki maana Jumatatu kuielekea Krismasi na Mwaka Mpya ndo hii na kumbuka tu kama unawajibika kwa wanaokuangalia basi kumbuka hela utakazopata mwezi huu ndo utalipia ada na kodi ya pango/nyumba/kiwanja na biashara za online zinatozwa kodi.
wewe unayekaa kuuza vitu vipya used online sijui umefungua IG page, au whatsapp basi TRA wanakutakia sikukuu njema
...kabla sijalipiwa ada ya English kozi kwa Ras simba na ndugu zangu ningendako na Tumosa , huu wimbo bilijuaga wanaimba Husnaaaaaaaaaaaa kumbe ni whatslove

Ha ha ha ,,ras simba anasema kuna kozi moja unatakiwa ukamalizie ,,ili uwe na kiwango kizuri zaid cha kuongea tofaut na sasa
Ha ha ha binamu fitina hzo,,hayo mambo ni ww na mjomba mjomba,,
Mm mzima kabsa,,habar ya uzima huko
Sawa kama unampinga JiweNapinga kwa nguvu zote
Kumbe ndo ulichokuwa unakitaka hcho eeeh
Sawa kama unampinga Jiwe
Uko mzima?
Mbona kujiquote
AminaDunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi Mungu, ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake