Makapuku Forum

Makapuku Forum

Diamond Platnumz, Rayvanny wafungiwa kwa muda usiojulikana

Baraza la Sanaa nchini (Basata) limewafungia wanamuziki Diamond Platnumz na Rayvanny kutojihusisha shughuli za sanaa kwa muda usiojulikana.
Taarifa ya Baraza hilo iliyotolewa leo Desemba 18, imesema limefikia uamuzi huo baada ya wasanii hao kuonyesha dharau kwa mamlaka zinazosimamia shughuli za sanaa nchini, kwa kufanya vitendo vinavyokiuka maadili.
Mbali na kuwafungia wanamuziki hao, Baraza limetangaza kukifuta kibali cha Tamasha la Wasafi Festival linaloendelea nchini.
Wimbo wa Mwanza ambao uliowaingiza matatani ulifungiwa Novemba 12.
Juzi, Basata iliahidi kutoa taarifa rasmi baada ya wasanii hao kuonekana jukwaani katika Tamasha la Wasafi jijini Mwanza wakitumbuiza wimbo huo.
Mkuu jiwe yuko wapi?Namiss sana "je wajua na shangazi shunie shunie"!!
 
Shombeshombe hajambo binamu,,anakusalimia sana,,,kwan toka ln mjomba akatulia kwa hao watu wake,,yy mwenyew anasema anaweka heshima ya ukoo

...huu ukoo kwa mambo ya asili kwa kweli ni ngumu kuepukana nao. Msalimie sana cheupe, siku ukiweza niambie kama wanawake weupe huwa nao wana mazivu meusi au ni meupe
 
Diamond Platnumz, Rayvanny wafungiwa kwa muda usiojulikana

Baraza la Sanaa nchini (Basata) limewafungia wanamuziki Diamond Platnumz na Rayvanny kutojihusisha shughuli za sanaa kwa muda usiojulikana.
Taarifa ya Baraza hilo iliyotolewa leo Desemba 18, imesema limefikia uamuzi huo baada ya wasanii hao kuonyesha dharau kwa mamlaka zinazosimamia shughuli za sanaa nchini, kwa kufanya vitendo vinavyokiuka maadili.
Mbali na kuwafungia wanamuziki hao, Baraza limetangaza kukifuta kibali cha Tamasha la Wasafi Festival linaloendelea nchini.
Wimbo wa Mwanza ambao uliowaingiza matatani ulifungiwa Novemba 12.
Juzi, Basata iliahidi kutoa taarifa rasmi baada ya wasanii hao kuonekana jukwaani katika Tamasha la Wasafi jijini Mwanza wakitumbuiza wimbo huo.

...bado sijaielewa sababu ya kuufungia huu wimbo!
Kama unahamasisha ngono/ushoga au chochote kile lazima ziwepo taratibu za kuukubalisha upigwe.
Sijui kama ninaeleweka anko, wimbo kama una maudhui ya kikubwa basi uwekewe utaratibu kwamba usikizwe na wakubwa tu na si kuufungia kabisa
 
Hivi unajua kipengele cha muziki humu Jukwaani ninajihisi kuwa nimekitendea haki sana kwa huu mwaka 2018. Sitaki mnisifu ila nitajisifu mwenyewe maana ndo napenda na hata msiponiuliza hali yangu basi nakuwa wa kwanza kuwaambia niko mzima kabisa na ninafurahia mara zote kukuona hapa wewe mdau wa Jukwaa hili.
Sichoki kuuliza kama KUNA JIPYA.
Burudika na huu wimbo kwa sasa muda huu

Ha hahahhaha, wewe inaonesha ni mtu wa mashaka, Jiwe itakuwa ngumu sana kukusaidia, ongea na ningendako ana wachumba wengi aweza kukufanyia wema kwenye msimu huu wa sikukukuu akakkupa mmoja
Vigezo na mashart vizingatiwe binamh,,,nmeshamwabia huyu ndugu yako,,tatzo hatak kufata hayo mashart,,,ngoja apambane tu,,, Tumosa atamfaidi kwa picha tu
 
...ha hahahahhaha, hebu msaidie mmoja japo awe naye kwa mkopo! wewe first eleven imekamilika kwenye jifanye kama umekuwa mwema sana umpatie mmoja sikukuu ikiisha basi unarudisha kitu kwenye himaya yako kama kawaida. anko Lyon Lee ndo anafanyaga hivi
 
Hivi unajua kipengele cha muziki humu Jukwaani ninajihisi kuwa nimekitendea haki sana kwa huu mwaka 2018. Sitaki mnisifu ila nitajisifu mwenyewe maana ndo napenda na hata msiponiuliza hali yangu basi nakuwa wa kwanza kuwaambia niko mzima kabisa na ninafurahia mara zote kukuona hapa wewe mdau wa Jukwaa hili.
Sichoki kuuliza kama KUNA JIPYA.
Burudika na huu wimbo kwa sasa muda huu

Similar Discussions

Back
Top Bottom