Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Aisee kama kawa upacha hongeleni sanaHata sijui
Hahaha yaani weweHata sijui
Jiwe haunagaa uchonganishiii sijuii umeanzaa linii...
Nimejikuta nacheka kwahiyo mtu akipotea ana mtotoUpo wapi tunakumiss tu
Una mtoto gani tuandae zawadi?
Aisee kama kawa upacha hongeleni sana
Kwani huo ni uchonganishi eenh
Kwa mapenzi mlio nayoHongera ya nn tena
Asa huoni muda aliopotea ni mwingi aseme apa kama sio kweliNimejikuta nacheka kwahiyo mtu akipotea ana mtoto
Kwa mapenzi mlio nayo
Ziko apiZile ndizi!![]()
Mpaka uzitaje ndo tutajua hawezi rudi bila zawadi labda utunyime tuZawadi gani jamani
Asa huoni muda aliopotea ni mwingi aseme apa kama sio kweli
Mpaka uzitaje ndo tutajua hawezi rudi bila zawadi labda utunyime tu
Hamna bwana mbona huwa anaonekana mnapishana tu
mtoto akilala anachungulia eeh?