King Mswati kuna demu nimemuona kwenye uzi fulani hivi akikuulizia,nimlete hapa fasta?Karibuuu sana utakutana kwanza na jiwe ili akufanyiee wepesiii



King Mswati kuna demu nimemuona kwenye uzi fulani hivi akikuulizia,nimlete hapa fasta?![]()







Uziii ganiiiNipe go ahead mkuu!![]()
King Mswati kuna demu nimemuona kwenye uzi fulani hivi akikuulizia,nimlete hapa fasta?![]()




Sawa jiwe kuna Simba mmoja anasema mkewe afu Anatoa povu kichizi
Kufanya kazi sana ndiyo jukumu letu mkuu jiwe,![]()
![]()
![]()
usiwaze
Mkuu tulifubdishwa ya kuwa "Kwenye kuku wengi usimwage mchele" ado ado utaelewa tu
Hahahaha ndio ndio,,hamna jipya msimu huu
Marybaby sijui kajinyonga ?
Leo najiachia makapuku kama popobawa anavyo kula jicho
Huna haja ya kujua uzi, wewe nipe ruhusa nimlete hapa fasta!Uziii ganiii



Sijakuelewa yaan najaribu kukuelewa nashindwa
Anakutakaaa jaman na ww mgumuuSikuelewi mm
Kama umempaa asiyempendaa na anakuogopa kupingaaEiiish ajinyonge kwa kipi haswa yaan mtu mmekutana ukubwani halafu ajinyonge hakunaga hiyo