Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Siachi kupenda chura hadi wewe uache kwanza kumpenda mke wa mtu- Madame S![emoji4][emoji4][emoji4]Acha kupenda chura ndugu yangu,,,Ukiweza hilo,,ntakufundisha njia ya pil tena
Siachi kupenda chura hadi wewe uache kwanza kumpenda mke wa mtu- Madame S![emoji4][emoji4][emoji4]Acha kupenda chura ndugu yangu,,,Ukiweza hilo,,ntakufundisha njia ya pil tena
Mm ni nani nipinge hitaji la moyo wako ....[emoji131]
Km nakuona unavyosherehekea [emoji2][emoji2]Kabisa rafiki![emoji16][emoji16][emoji16]
Vyote na kitu gani rafiki?Utakosa vyote
Neno Jiwe lina maana 10000
Nipo hapa shangazi nakunywa maji
Nipo salama shangazi,,hope umemuona bibie
Muache jiwe afanye kazi yake!!Acha mara moja kumuingilia![emoji1][emoji1][emoji1]Niliiona shangazi.lkn ss wanasema mpe chansi tena uone km alikusudia au aliteleza na ganda la ndizi [emoji41][emoji41]
SielewiKwani kuna habariii ganiii
Yangu macho na maskio [emoji40]Muache jiwe afanye kazi yake!!Acha mara moja kumuingilia![emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji2][emoji2]Acha kuharibu mapenzi ya watu jamani
Niwe bize chooni kukojoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunywa mama tena kunywa mengi
Hasi na chanyaVyote na kitu gani rafiki?
Rafiki pole kwa kupinduliwa mchana kweupe tena mbele ya jiwe!![emoji847][emoji847][emoji847]Yangu macho na maskio [emoji40]
[emoji2][emoji2]
Niwe bize chooni kukojoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Makapuku za muda