Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hahahahhaha
Rafiki pole kwa kupinduliwa mchana kweupe tena mbele ya jiwe!!![]()
Rafiki pole kwa kupinduliwa mchana kweupe tena mbele ya jiwe!!![]()
Embu niache ukoRafiki pole kwa kupinduliwa mchana kweupe!!![]()

unanipa pole ya kiuongoShangazi wacha nimalize eda mieIli ukikojoa utoe sumu ebu niambie unaanzaje kumkataa prince
Nipo hapa shangazi nakunywa maji
Poa mzimaMakapuku za muda
Ili ukikojoa utoe sumu ebu niambie unaanzaje kumkataa prince
Hakuna cha kumaliza eda shangazi ameshasema nitagieni prince mmShangazi wacha nimalize eda mie
Rafiki umepinduliwa mchana kweupe tena mbele ya jiwe,naona aibu mimi!Embu niache ukounanipa pole ya kiuongo



We endelea kukaa kwenye mtelemko tuNiko hapa kwenye mtelemko
Unateleza na nini,?Niko hapa kwenye mtelemko
Embu niache ukounanipa pole ya kiuongo
Rafiki umepinduliwa mchana kweupe tena mbele ya jiwe,naona aibu mimi!![]()
ingia uvunguni kwakweli aibu hii ya kufungia mwaka
Mapenziii haya bwanahRafiki umepinduliwa mchana kweupe tena mbele ya jiwe,naona aibu mimi!![]()
@Lyon Lee embu mtag princeHakuna cha kumaliza eda shangazi ameshasema nitagieni prince mm
Shulee hapa nimefikaaWe endelea kukaa kwenye mtelemko tu
Habari yako maryMjomba wako hajambo,umeona anavyomchokoza jiwe.?