Yes, skills attract Millions. Kabla haujafikiria kuwa Millionaire, focus zaidi kwenye kujifunza mambo ili Uwe Skillionaire kwanza. Kwani Maarifa na ujuzi ni mtaji wa ufanisi.
Kila siku unaghairisha Mambo sababu umejawa na Matamanio, sio Malengo. Jua kutofautisha Kati ya hivyo vitu viwili itakusaidia sana kimaisha na Kibiashara