Lete manenoTumoo..where is shululu
Mafanikio ni pale ambapo kuna balance Kati ya Sala, kazi, Muda, Uhuru wa kipato na hivyo vyote vikupatie Furaha. Ukikosa kimoja wapo bado kuna uhitaji wa kujitathmini, usijisahau sana.
MfyuuuuAkikujibu uniite tetra
kwa hyo umeninyoosha
Ametekwa
Mfyuuuu
Ametekwa
Utapata unachokitafuta kwa jiwe
unaanzaje kumtania jiwe
..Jiwe na wewe hutaniwiiiii
Ametekwa
Heeee.... katekwa na wewe??
Kingine umesahau umeachwa cc @Tetra
Fursana kwenye mabar makubwa hakunaga mbona upo hivi we jamani
Hawezi kukubali kaachwa anajifanya hajuiHahahaha... @tumoo ya kweli haya
ushamba huu mke mweee