Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Haziwezi kwa kweliNa uzee huu eti stress za mapenzi zinipeleke zinaanzaje viunzi vyote nilivyoruka
Haziwezi kwa kweliNa uzee huu eti stress za mapenzi zinipeleke zinaanzaje viunzi vyote nilivyoruka
Wewe acha utafutiwe mchepuko
MfyuuuuuuuuNaonaa Tumosa anajaribuu sharuby zako
Akikataa mpe fanta au azam juice mtu asiyekunywa pombe hanisumbui kabisa
Haahahahaha unaanzajeee kwa mfano
Fanta orange au na maji ya kilimanjaro madogoAkikataa mpe fanta au azam juice mtu asiyekunywa pombe hanisumbui kabisa
Naanza mm kama hivi
ShubaaaaaaaamitiiiiiiiMfyuuuuuuuu
HahahahaJiwe na wewe hutaniwiiiii
Fanta orange au na maji ya kilimanjaro madogo
Mwaka 2019 no stresskila mtu abaki na stress zake apambane na hali yake
Jiwe na wewe hutaniwiiiii
Mbona unachekaaaHahahaha
Leo lakiniii mambo yashapendezaaaa...ngoja nichekii wozaaap