[emoji23][emoji23][emoji23]alafu huko ndiko kwao Jiwe [emoji134][emoji126][emoji126][emoji126][emoji3] [emoji3] [emoji3] mbu wa huku hawafi kijinga jinga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwetu salama kbs.Njema marry, habari za huko kwenu
Tumemka salama ingawa hali ya hewa imekuwa chanyaKwetu salama kbs.
Nyie wa kanda ya ziwa jee mmeamka poa?
Hakuna namna inabidi mpambane nayo ya mpito hiyoTumemka salama ingawa hali ya hewa imekuwa chanya
Barikiwa baba (Muuza korosho asie na shamba)[emoji4]
Mm mwenyew shangazi
Mmeshamaliza mapumziko au bado mnaendeleaTupo salama sana,,tulikuwa mapumzko kidogo,,siujua mambo ya mwsho wa mwaka
Ulikua unanitega eenh au baba wawili kuna mate ya aina mbili mm siyajui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Nakusalimiaaa
Hahahahhaa tutakimbianaaaa
Hii tabia ya kukimbiana kitandani sio[emoji19]
Sauti peke yake ? Hata akiwa mdebwedo!!!?
Hujambo Shunie
Tumemka salama ingawa hali ya hewa imekuwa chanya
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Ni heri nisipate uteuzi kuliko kuteuliwa kisha baada ya muda nikatenguliwa...chanya bila hasi ni hasara tupu. Omba uteuliwe na jiwe upate hasi ndo uifurahie chanya
Sauti nzito ya mwanaume mdebwedo itakufaa nini weye?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sijambo moud za wewe sasa mdebwedo jamani hawezi kuwa na sauti nzito
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilikuchoshaa sana usiku sikutaka kukusumbuaa asbh
Kazi kwenu wanaume wenye sauti za kinandaView attachment 965441