amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
MGENI leo weekend
Chagua unachopenda
[emoji485] [emoji484] [emoji482] [emoji483]
MGENI leo weekend
Pokeana wewe hiyo[emoji106][emoji106] [emoji106] [emoji106]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Wewe pupil hayo maneno Malizia Irabu za mwishoni. Mbona unakuwa mgumu kuelewa [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hongera kuwa huru mkuuImekaa poa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
OkaySasa baby wangu
Maana hili juaOkay
Jua hatari hiliMaana hili jua
Umejuaje???Aisee hapa lazima itakuwa mbege, au Togwa.
Maji baridi tuJua hatari hili
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahahaa yaani, siku nyingne mtu akaniuliza bibi na babu hawajambo, kumbe mm nikamjibu hawajambi, akanijibu ila wanafanya nn? Ikabidi niangalie text niliomtumia. Nilicheka sana
Asante sana mkuu hapa ni mwendo wa kutembeza [emoji106] kwa sanaaaaHongera kuwa huru mkuu
Yes babeMaji baridi tu
Kazi inaelekea kunishinda[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Asante sana mkuu hapa ni mwendo wa kutembeza [emoji106] kwa sanaaaaHongera kuwa huru mkuu
Walimu mlipwe M.Kazi inaelekea kunishinda
Tusubiri jioni tutoke baby weekend imeanzaYes babe
Okay my loveTusubiri jioni tutoke baby weekend imeanza
Walipwe tuuuuuWalimu mlipwe M.
Shem umemis mbege wewe!Umejuaje???
Chagua mbege au togwa??
Au ulanzi ???