lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Unaalika binti date halafu anakuja
na maringo,ety oooh!,"...babe hata
ctakula nikitoka home nilipitia TILAPIA HOTEL
nikala kuku..."
We na ugentleman wako unamnunulia
whiskey ya Jack Daniel 50000' baada ya binti wa watu kunywa mafundo kazaa anatapika makande na mahindi ya kuchoma walai,,,sa
hapo ndio inabidi umuulize romantically"...swry!uko sure ulikula
kuku au ulikula chakula cha kuku?.


